Kiswahili

Karibuni

Nimefanya kazi Tanzania jumla miaka minne. Ninazungumza Kiswahili. Na mke wangu anajua Kinyrwanda na Kirundi pia. FasterEFT ni kitu epesi kufanya unaposikia:

 • maumivu
 • woga
 • kutofanya vizuri
 • tatizo la uzito wa mwili/unene
 • tatizo la ulevi wa pombe, tumbaku, dawa za kulevya
 • hata vitu vingine

Inatumika kwa watoto yatima Rwanda baada ya mauaji ya kimbari (genocide). Angalia PeacefulHeart.se

Muhimu: Katika swali la afya na dawa, utamwuliza  daktari. Mimi siyo daktari.

Lakini kama una shida ya afya, na inaendelea hata kama unatumia dawa kutoka kwa daktari, labda FasterEFT inaweza kusaidia.

Kama unataka kujua zaidi, unaweza kunipigia simu au kunituma SMS (message) kwa simu +46 70 35 80 306 au kwa internet na Skype: jeff_forssell au Facebook . Pia unaweza kuandika barua moja kwa moja kwa formu kwa ukarasa ”English” http://fastereft.se/wordpress/english/

Kama unataka, ninaweza kutengenza video kidogo kwa kiswahili kuhusu FasterEFT.

Hapa FasterEFT inatumika Kenya. Watu wamekuwana shida Kibera baada ya kupiga kura (Election) (dakika 11):

Unawesa kuona filamu ndefu zaidi (Dakika 59) kuhusu  Kibera Nairobi Kenya: ”Until Hope is Found”. Filamu ina jina kwa kiingereza lakini watu wanasema kiswahili sana katiki filamu hii. .

Katika dakika 39 – 43, FasterEFT inaonyeshwa na anasema:

 • ninaondoa hasira zote
 • ninaondoa confusion yote
 • ninaondoa wasiwasi yote
 • ninaondoa mchungu moyoni ,  hata kidonda ninaondoa
 • ni sawa kuiacha
 • chukua wrist hivi  squeeze  chukua deep breath
 • blow out ,  sema ”Peace”   (amani)
 • i am safe na ninapendwa

This goes to an English page about someone using ”tapping” in East Africa:  EFT in Kenya